1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Serikali ya Ujerumani yazindua mpango wa ufundishwaji wa lugha ya Kijerumani mashuleni

18 Januari 2010

Ujerumani kwa ushirikiano na Taasisi ya Goethe imezindua mpango wa kuanzisha lugha ya Kijerumani mashuleni.

https://p.dw.com/p/LZ5I

Serikali ya Ujerumani kwa ushirikiano na wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi nchini Tanzania imezindua rasmi mpango wa ufundishwaji wa lugha ya kijerumani katika shule za sekondari nchini humo. Mwandishi wetu George Njogopa anaarifu zaidi kutoka Dar es Salaam.

Mtayarishaji. Josephat Charo

Mhariri. Othman Miraji