1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Serikali ya Umoja wa Kitaifa haitaanguka Z'bar - Mansour

23 Julai 2013

Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi na mmoja wa watu wanaounda Kamati ya Maridhiano, Mansour Yussuf Himidi, amesema licha ya changamoto zilizopo, Serikali ya Umoja wa Kitaifa visiwani Zanzibar haitavunjika.

https://p.dw.com/p/19D45
Viongozi wa juu wa serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar, Rais Ali Mohammed Shein (kulia) na Makamu wa Rais, Maalim Seif Sharif Hamad.
Viongozi wa juu wa serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar, Rais Ali Mohammed Shein (kulia) na Makamu wa Rais, Maalim Seif Sharif Hamad.Picha: DW

Kusikiliza mahojiano kamili, bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Makala: Kinagaubaga
Mahojiano: Mohammed Khelef/Mansour Himidi
Mhariri: Mohammed Abdul-Rahman