1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Shambulio lililoendeshwa na Palipehutu FNL nchini Burundi

22 Oktoba 2007

Nchini Burundi watu 11 wameuwawa katika shambulio lililoendeshwa na wapiganaji wa Palipehutu FNL dhidi ya kituo cha Gakungwe trarafani Ruziba kusini mwa Bujumbura, kuliko na kituo kilowapa hifadhi wapiganaji 350 wa kundi hilo waliouasi uongozi wa Agathon Rwasa.

https://p.dw.com/p/C7gX

Shambulio hilo limeisibu Burundi wakati ikiadhimisha mwaka wa 14 tangu kuuwawa Rais mteule Melchior Ndadaye.

Maelezo kamili na mwandishi wetu Amida Issa kutoka Bujumbura.