1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Sheria ya Vyombo vya habari yasainiwa Kenya

Mjahida18 Desemba 2013

Vyombo vya habari vya ndani na nje ya Kenya vimeripoti kuwa rais Uhuru Kenyatta wa taifa hilo ametia saini muswada tata wenye kubana uhuru wa habari wa taifa hilo na kuwa sheria.

https://p.dw.com/p/1Abq3
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta
Picha: John Muchucha/AFP/Getty Images

Sheria hiyo inatoa adhabu kubwa ya faini ya shilingi milioni moja za Kenya kwa mwandishi atakaekutwa na hatia na shilingi milioni 20 kwa chombo kitakachotiwa hatiani. Kutoka mjini Nairobi nimezungumza na Naibu Mtendaji Mkuu wa Baraza la Habari nchini Kenya Victor Bwire ambaye kwanza ana haya ya kusema kuhusu hatua hiyo. Je kusainiwa kwa Sheria mpya ya vyombo vya habari nchini Kenya na rais Uhuru Kenyatta kunaiweka katika nafasi gani sekta ya habari nchini humo?

Mwandishi: Sudi Mnette

Mhariri: Mohammed Abdul-Rahman