1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Shibuda akihama chama cha CCM na kujiunga na CHADEMA

19 Agosti 2010

Kampeni za uchaguzi zaanza rasmi kesho

https://p.dw.com/p/Oro3

Huko nchini Tanzania kabla ya uchaguzi mkuu Oktoba 31 mwaka huu, sasa imefahamika wazi kwamba mwanasiasa machachari wa CCM aliyekuwa mbunge wa Maswa katika bunge lililopita John Shibuda amejiunga na chama cha upinzani CHADEMA. Shibuda anafahamika kwa kuwa miongoni mwa wale waliokemea sana ufisadi katika bunge lililopita.

Thelma Mwadzaya amezungumza na mwanasiasa huyo na kwanza Bw Shibuda anaelezea kwa nini amekihama chama tawala cha mapinduzi CCM na kuhamia CHADEMA.