1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Shindano la Olimpik 2012

6 Juni 2012

Bonyeza hapa na jibu swali lililoulizwa. Kuna zawadi mbali mbali za kujinyakulia. Jaribu bahati yako.

https://p.dw.com/p/14nf5
Shindano la Olimpik 2012
Shindano la Olimpik 2012Picha: Reuters

DW ina zawadi kemkem za kushindaniwa. Unachohitaji kufanya ni kujibu swali hili:

Je ni mji upi utakaokuwa mwenyeji wa mashindano ya Olimpik mwaka huu?

Ni Berlin, London au New York?

Tuma jibu lako sahihi kupitia anuani zifuatazo:

S.L.P. 53110 Bonn, Germany

S.L.P. 70087 Dar es Salaam, Tanzania

S.L.P. 1327, Kigali, Rwanda

S.L.P 7016, Kampala ,Uganda

Au tuma Barua Pepe: Kiswahili@dw.de

Simu, Redio, I-Pod, Mipira, Flana na zawadi nyingine chunguzima zinakusubiri.

NAFASI NI YAKO !!!!!!!!