1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Siku 100 za Uongozi wa rais Jacob Zuma.

17 Agosti 2009

Hii leo ni siku 100 tangu kuingia madarakani rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma.

https://p.dw.com/p/JD3j
Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma.Picha: AP

Tangu wakati huo mambo mengi yamejitokeza nchini humo, kuanzia migomo ya wafanyikazi hadi maandamano ya ya Waafrika kusini walalahoi wanaotaka koboreshwa kwa hali zao za maisha. Hivi punde Jane Nyingi amezungumza na mwandishi wa habari. Issac Khomo, akiwa nchini Afrika kusini na kwanza anaeleza mafanikio ya Bw. Zuma katika kipindi hicho cha siku 100.

Mwandishi:Jane Nyingi

Mhariri:Othman Miraji