1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Siku ya kimataifa ya Haki za Binaadamu duniani

10 Desemba 2012

Leo (10.12.2012) ni siku ya kimataifa ya haki za binaadamu duniani kauli mbiu yake ni "Sauti Yangu pia Inafanya Kazi:Haki ya Kujumuishwa na Kushiriki katika Maisha ya Kijamii."

https://p.dw.com/p/16z3L
Siku ya Haki za Binaadamu duniani
Siku ya Haki za Binaadamu dunianiPicha: picture-alliance/dpa

Mohamed Dahman amezungumza na mwandishi wa habari wa siku nyingi nchini Tanzania Majid Mjengwa juu ya dhima ya vyombo vya habari na mitandao ya kijamii katika kuwaelimisha wananchi juu ya haki zao za msingi. Blogu ya mwandishi huyo 'mjengwa blogu' ilioanzishwa mwaka 2006 huko Iringa imekuwa ikijishughulisha sana na masuala ya haki za binaadamu.

(Kusikiliza mazungumzo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi: Mohammed Dahman

Mhariri: Josephat Charo