1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Siku ya Ugonjwa wa Malaria duniani

25 Aprili 2008

Kama unavyofahamu msikilizaji leo ni siku ya ugonjwa wa Malaria duniani.

https://p.dw.com/p/DodW
Chandarua dhidi ya kampeni ya MalariaPicha: picture-alliance/dpa

Juhudi mbalimbali zimekuwa zikifanywa ili kupunguza au kuutokomeza kabisa ugonjwa huo.

Scholastica Mazula amezungumza na Dokta Amour Abdallah Amour kutoka Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Nchini Tanzania juu ya maendeleo yaliyofikiwa na Tanzania katika kupiga vita ugonjwa huo.