1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Simba imemaliza kazi

30 Aprili 2018

Kufuatia kipigo cha goli moja dhidi ya mtani wake wa jadi Yanga Sport Club, Club ya Simba ya jijini Dar es Salaam imesema imemaliza kazi na kwamba sasa ni Mungu pekee atakayewazuia kuutwa ubingwa wa ligi kuu ya Tanzania. Mtazame Hajj Manara, msemaji wa club hiyo kongwe nchini Tanzania.

https://p.dw.com/p/2wwSK