1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Simba walio katika hatari ya kutoweka

15 Juni 2018

Simba wako katika hatari ya kuangamia na yote ni kutokana na mzozo kati ya wanyama na binadamu. Wanyama hawa walio katika jamii ya paka, ni miongoni mwa kundi kubwa la "Wakubwa Watano", yani wanyama watano wakubwa wa pori nani muhimu sana kwani watalii husafiri katika nchi za Afrika mahsusi kuwaona wao.

https://p.dw.com/p/2zd3k