1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Somalia: Al-Shabab warejea tena Kismayu

20 Septemba 2012

Kumekuwepo ripoti kwamba wapiganaji wa kundi la Al Shabab huko Somalia, jana walimiminika katika mji wa kusini mashariki, Kismayu, baada ya taarifa za awali kwamba walikuwa wameuhama mji huo.

https://p.dw.com/p/16BpZ
Kundi la Al Shabab
Kundi la Al ShababPicha: AP

Mwenzetu Daniel Gakuba amezungumza na msemaji wa jeshi la Kenya, Kanali Cyrus Oguna, na kumuuliza ukweli juu ya taarifa hizo na athari zinazoweza kuwa nazo katika mapambano ya kuwafukuza wapiganaji hao, na alianzia juu ya taarifa zenyewe.

(Kusikiliza mazungumzo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi: Daniel Gakuba

Mhariri: Mohammed Abdulrahman