1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Suala la Catalonia lazidi kukwamisha siasa za Uhispania

Iddi Ismail Ssessanga23 Oktoba 2019

Mwangaza wa Ulaya unamulikia Uhispania baada ya siku kadhaa na maandamano ya mfululizo, baadhi yakigeuka kuwa ya vurugu, misimamo ya pande zote kwenye mzozo wa uhuru katika jimbo la Catalonia nchini humo imezidi kuwa mikali.

https://p.dw.com/p/3RmQx