1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Sumaye amchana waziri Kigangwala

Isaac Gamba30 Januari 2018

Waziri wa Maliasili na Utalii wa Tanzania Hamis Kigwagngala amewataja mawaziri wakuu wastafu Fredrick Sumaye na Edward Lowassa miongoni mwa waliojimilikisha viwanja kwenye eneo la mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro na kujenga majumba

https://p.dw.com/p/2rmFv