1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Sumu la aflotoxin na madhara yake

Bernard Maranga M M T8 Oktoba 2019

Kwenye kipindi cha Afya yako, leo tunaangazia visa vya watu kuathirika kutokana na chakula kilicho na sumu ya Aflatoxin haswa nchini Kenya. Hali hiyo imekuwa ikitokea sehemu mbalimbali kwa muda mrefu sasa. Tunaangazia pia madhara ya sumu ya aflatoxin na jinsi ya kukabilina nayo. Mtayarishaji na msimulizi ni Bernard Maranga

https://p.dw.com/p/3QsBV