1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari ya asubuhi: 06.09.2018

Zainab Aziz
6 Septemba 2018

Watu wapatao 20 wauawa mjini Kabul baada ya mabomu mawili kulipuka. Wanadiplomasia wa nchi za Amerika ya Kusini waitaka Venezuela ikubali misaada ya kibinadamu. Ujerumani na Uturuki zahimiza maridhiano kwa ajili kuuimarisha uhusiano wao.

https://p.dw.com/p/34OkI