1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari ya asubuhi 20.02.2020

Sylvia Mwehozi
20 Februari 2020

Polisi inawasaka washambuliaji waliowaua watu wanane magharibi mwa Ujerumani. Iran yathibitisha vifo vya watu wawili vilivyotokana na virusi vya Corona. Uturuki na Urusi zashindwa kufikia makubaliano kuhusu mashambulizi ya Idlib.

https://p.dw.com/p/3Y2FY