1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari za asubuhi. 12.11.2019

Tatu Karema
12 Novemba 2019

Uturuki yawarejesha makwao wanachama wa kigeni wa kundi la jihadi, ghasia zazuka nchini Bolivia kufuatia hatua ya kujiuzulu kwa aliyekuwa rais Evo Morales na kiongozi mwenye ushawishi mkubwa zaidi wa dhehebu la Kishia nchini Iraq Grand Ayatollah Ali al-Sistani aunga mkono mpango wa Umoja wa Mataifa wa amani nchini humo.

https://p.dw.com/p/3SrN9