1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari za asubuhi. 14.11.2019

Tatu Karema
14 Novemba 2019

Palestina yasema shambulizi jipya la angani lililotekelezwa na Israeli lasababisha vifo vya waatu watano, aliyekuwa rais wa Bolivia Evo Morales ashtumu hatua ya Marekani ya kuitambua serikali ya sasa ya taifa hilo na shirika la ndege la Afrika Kusini lafutilia mbali safari zake za ndege.

https://p.dw.com/p/3SyQv