1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari za asubuhi 22.04.2019

Yusra Buwayhid
22 Aprili 2019

Watu zaidi ya 200 wauawa katika mashambulizi ya jana nchini Sri Lanka. Shirika la Afya Duniani WHO lasema zaidi ya watu 30,000 wamepoteza makaazi mjini Tripoli Libya tokea mapigano kuanza mwanzoni mwa mwezi huu. Na, Mchekeshaji Volodymyr Zelensky ashinda urais nchini Ukraine.

https://p.dw.com/p/3HCed