1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari za Asubuhi 23.08.2018

Zainab Aziz
23 Agosti 2018

Rais wa Marekani Donald Trump apinga madai yaliyotolewa mahakamani na aliyekuwa wakili wake. Mahakama nchini Zimbabwe yachelewesha kutoa uamuzi juu ya kupinga matokeo ya uchaguzi. Serikali ya Afghanistan yasema haitashiriki kwenye mazungumzo ya amani ya mjini Moscow.

https://p.dw.com/p/33bze