1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Takataka za mtu mwingine, Hazina kwa mwingine.

15 Novemba 2017

Dampo la Dandora ambalo ni kubwa zaidi Jijini Nairobi, na hapo maefu ya Wakenya hujipatia kipato. Wanasema "Takataka kwa mtu mwingine, mwingine kwake ni hazina". Video hii inaonyesha wanawake wanaouza nywele za bandia zilizotupwa kwenye dampo hilo, baada ya kuzifanyia maboresho.

https://p.dw.com/p/2nfI9