1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tamasha la muziki wa kiswahili la Marahaba

Sudi Mnette
29 Septemba 2017

Ni kiipindi kizuri na chenye kukuliwaza katika vipindi vya mwisho wa juma. Katika kipindi hiki utasikia juu ya tamasha kubwa la muziki wa kiswahili lijulikano kama "Marahaba" ambalo litafanyika Oktoba 28 jijini Dar es Salaam, mbali na burudani hiyo utasikia kiswahili kina wenyewe.

https://p.dw.com/p/2kzNX