1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tamko la LHRC dhidi ya shambulio la IMMA

Hawa Bihoga29 Agosti 2017

Kituo cha sheria na haki za binadamu (LHRC) pamoja na rais wa Chama cha Wanansheria Tanganyika (TSL) wamemtaka kaimu jaji mkuu atoe tamko la kulaani shambulio dhidi ya ofisi za kampuni ya uwakili ya IMMA jijini Dar es Salaam.

https://p.dw.com/p/2j1pS