1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania: Kima cha chini mishahara ya kisekta

12 Julai 2013

Serikali ya Tanzania imetangaza viwango vipya vya mishahara kwa kima cha chini kwa kuzingatia tofauti za kisekta.

https://p.dw.com/p/196ie
Mfanyakazi katika kampuni ya simu
Mfanyakazi katika kampuni ya simuPicha: DW /Maya Dreyer

Mishahara hiyo ambayo imepangwa kuanza kutolewa Julai Mosi inaanzia Shilingi 40,000 hadi 400,000. Sudi Mnette amezungumza na Katibu Mkuu wa Shirikisho la Wafanyakazi nchini Tanzania(TUCTA), Nicola Mgaya, akiwa safarini mkoani Kilimanjaro na kwanza alitaka kujua wameipokeaje nyongeza hiyo?  Kusikiliza mazungumzo hayo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Mwandishi: Sudi Mnette

Mhariri: Mohamed Abdulrahman