1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania: Kinyozi mwanamke

25 Novemba 2020

Wanawake wanaendelea kufanya kazi zilizokuwa zikionekana kama kazi za wanaume hapo awali. Leo tunaye Maisha Salum, Kinyozi mwanamke wa huko Mtwara Tanzania. Anasema hii ni kazi anayoipenda licha ya changamoto za kutoaminiwa na baadhi ya wanaume. Wewe umeshawahi kukutana na kinyozi mwanamke? Huduma yake ilikuwaje? Tupe uzoefu wako.

https://p.dw.com/p/3lomB