Tanzania: Magufuli amtetea Paul Makonda

Rais wa Tanzania, John Magufuli, amesema hajali iwapo Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ana vyeti halisi au la, anachojali ni kuwa Makonda anapambana na madawa ya kulevya. Mchambuzi Bashiru Ally afafanua.

                  

Maudhui Zinazofanana

Matukio ya Afrika | 23.03.2017

Mabadiliko Baraza la Mawaziri Tanzania

dakika (0)
Habari za Ulimwengu | 05.10.2017

05.10.2017 Matangazo ya asubuhi

Mada Zinazohusiana