1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania na kampuni ya madini Barrick zakubaliana

Rashid Chilumba21 Oktoba 2019

Uchambuzi wa Prof. Honest Ngowi kuhusu tangazo la serikali ya Tanzania na Kampuni ya kuchimba madini ya Barrick kufikia makubaliano ya kutanzua mvutano wa zaidi ya miaka miwili. Je, kilichofikiwa ndiyo yalikuwa matarajaio ya walio wengi.

https://p.dw.com/p/3RfNT