1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania na Ujerumani yazindua Taasisi ya meli ya MV Liemba

5 Machi 2010

<p>Tanzania na Ujerumani zimezindua taasisi ya Meli ya MV Liemba itakayotumika kama taasisi za kuendeleza na kuimarisha mahusiano ya muda mrefu kati ya nchi hizo mbili.

https://p.dw.com/p/MLHT
Taasisi ya meli ya MV Liemba yazinduliwa mjini DaressalaamPicha: DW /Maya Dreyer
Malengo mengine ya taasisi hiyo ni kutoa elimu ya mazingira, utawala bora na teknolojia ya uvuvi bora kwa wananchi wa Tanzania na eneo la maziwa makuu. Mwandishi wetu , George Njogopa, anaarifu zaidi kutoka Dar es Salaam.

Mtayarishi: Josephat Charo

Mhariri: Othman Miraji