1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania: Vurugu zazuka bunge la Katiba

7 Machi 2014

Vuta nikuvute ilitokea jana katika ukumbi wa bunge la katiba mjini Dodoma, nchini Tanzania na kulazimisha Mwenyekiti wa Muda, Pandu Ameir Kificho kuahirisha kikao kabla ya wakati wake.

https://p.dw.com/p/1BLcW
Picha: DW

Mzozo huo ulitokana na mabishano miongoni mwa wabunge hao kuhoji kuhusu baadhi ya wabunge kupata nafasi ya kuchangia pasipo kuwemo katika orodha ya wachangiaji. Kutoka Dar es Salaam, Sudi Mnette amezungumza na mchambuzi wa masuala ya kisiasa Gwandumi Mwakatobe na kwanza alitaka kujua kwa nini kumetokea tukio hili katika kipindi hiki?

Kusikiliza mazungumzo hayo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini

Mwandishi: Sudi Mnette

Mhariri:Josephat Charo