1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

DW Michezo

Babu Abdalla7 Juni 2021

Timu ya wanawake ya Bayern Munich yashinda taji la Bundesliga na kumaliza utawala wa miake minne mfululizo wa Wolfsburg. Babu Abdalla anaangazia yaliyojiri viwanjani ikiwemo maandilizi ya mechi ya kirafiki kati ya timu ya taifa ya Tanzania na Malawi.

https://p.dw.com/p/3uY08