1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tishio la siasa kali za mrengo wa kulia Ujerumani

Oumilkheir Hamidou
5 Septemba 2018

Sura ya Ujerumani inamulika zahma inayopiga katika jimbo la mashariki mwa Ujerumani la Saxony, na hususani katika mji wa Chemnitz, ambako kulitokea machafuko ya wafuasi wa siasa kali za mrengo wa kulia, na kumulika kwanini hali imefikia hapa ilipofikia kwa namna ambayo kuna hofu pengine baadhi ya polisi katika eneo hilo wanafumbia jicho visa vya siasa kali za mrengo wa kulia.

https://p.dw.com/p/34NDP