1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Trump Amtimua Kaimu Mwanasheria Mkuu

31 Januari 2017

Trump amfungisha virago Kaimu Mwanasheria Mkuu wa Marekani, Kansela Angela Merkel wa Ujerumani asema vita dhidi ya ugaidi havihalalishi ubaguzi wa watu kwa misingi ya asili yao, Canada yamfungulia mashitaka kijana aliyeuwa watu 6 katika msikiti jimboni Quebec, na Umoja wa Afrika wamchagua Moussa Faki Muhamat kuwa mwenyekiti mpya wa Kamisheni yake.

https://p.dw.com/p/2WjQu