1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Trump atishia kufyetua makombora Syria

Saumu Mwasimba
12 Aprili 2018

Mgogoro wa Syria wazidi kuutia khofu Umoja wa Mataifa baada ya rais wa Marekani kutishia kufyetua makonbora Syria huku Urusi ikiapa kudungua kombora lolote la Marekani litakalofyetuliwa pamoja na kushambulia eneo yatakakotokea makombora hayo.

https://p.dw.com/p/2vuz8