1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tukio la kihistoria linalopamba uhusiano kati ya Ujerumani na Marekani

Oumilkheir Hamidou29 Juni 2018

Chanzo cha urafiki kati ya Ujerumani na Marekani, kinatokana na tukio la miaka 70 iliyopita wakati ambapo utawala wa USOVIET ulizifunga njia zote za kuihudumia sehemu ya magharibi ya mji wa Berlin. Tegea sikio makala ya Sura ya Ujerumani ujue zaidi ukisimuliwa naye Oumilkheir

https://p.dw.com/p/30XYG