1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tume ya uchaguzi yakutana na waandishi wa habari nchini Tanzania

25 Januari 2010

Tume ya Uchaguzi ya taifa, nchini Tanzania, NEC imekutana leo na waandishi wa habari.

https://p.dw.com/p/LgN1

Tume hiyo imetaka kuzungumzia masuala yanayohusiana na uchaguzi mkuu, utakaofanyika nchini Tanzania mwezi Oktoba mwaka huu. Jambo muhimu lililojitokeza katika mkutano huo, ni hatua ya tume hiyo kuyagawanya baadhi ya majimbo ili kurahisisha taratibu za uchaguzi.

Mwandishi wetu wa jijini Dar es Salaam George Njogopa alihudhuria mkutano huo na hii hapa taarifa yake.

Mtayarishaji: George Njogopa

Mhariri: Othman Miraji