1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tundu Lissu azungumzia maamuzi ya kuvuliwa ubunge

Sylvia Mwehozi
2 Julai 2019

Spika wa bunge la Tanzania, hivi karibuni alitangaza kuwa jimbo la Singida Mashariki ambalo lilikuwa linashikiliwa na Tundu Lissu kwamba liko wazi na hivyo kumaanisha kuwa Lissu si mbunge tena wa jimbo hilo. Sikiliza mahojiano yake na Sudi Mnette katika makala ya Kinagaubaga.

https://p.dw.com/p/3LSHv