1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Twitter yatimiza miaka 10

Elizabeth Shoo22 Machi 2016

Tangu ulipoanzishwa mtandao huo wa kijamii umepata watumiaji milioni 320 wanaoshirikishana habari na picha kila siku. Katika Sema Uvume, wasikilizaji wa DW wanazungumzia wanavyoutumia mtandao huu.

https://p.dw.com/p/1IHWu
Nembo ya Twitter
Picha: picture-alliance/dpa/O. Spata

[No title]