1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tzar mtoto aliyezaliwa na simba na chui

Grace Kabogo
3 Februari 2017

Je umewahi kumsikia mtoto aliyezaliwa na simba na chui? Tzar ambaye wazazi wake ni simba na chui, alizaliwa kutokana na kuwepo uhusiano kati ya simba dume na chui jike huko nchini Urusi. Baba yake anaitwa Ceser na mama yake anaitwa Princess the Tiger.

https://p.dw.com/p/2WvkL