Uamuzi wa Trump kuhusu Jerusalem wakosolewa kimataifa

Tazama vidio 01:59
Sasa moja kwa moja
dakika (0)
Hamas watoa wito wa kuanzishwa harakati za kupinga na kutaka mageuzi dhidi ya Israel baada ya rais wa Marekani Donald Trump kuitambua rasmi Jerusalem kuwa mji mkuu wa Israel, Mwanasheria Mkuu wa Kenya aonya upinzani dhidi ya kumuapisha Odinga, na je, una hamu ya kula "panya choma"?