1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uboho una umuhimu gani katika mwili wa binadamu?

Deo Kaji Makomba28 Februari 2019

Uboho ama kwa jina la kitaalam, Bone Marrow, ni ute unaopatikana ndani ya mifupa mirefu katika mwili wa binadamu huku kazi yake kubwa ikiwa ni kuzalisha chembechembe za damu ambazo zina kazi mbalimbali mwilini. Kuna madhara gani yanayoweza kujitokeza endapo utashindwa kufanya kazi ipasavyo?

https://p.dw.com/p/3EG9g