1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uchaguzi Kenya kuendelea hata kukiwa na hitilafu

21 Julai 2017

Mahakama kuu imepuuzilia mbali ombi la muungano wa upinzani NASA, kusitisha uchaguzi mkuu iwapo mitambo ya Tume ya Uchaguzi IEBC ya kuendesha uchaguzi itashindwa kufanya kazi wakati wa uchaguzi.

https://p.dw.com/p/2gwBu
Uchaguzi Kenya
Picha: Reuters/M. Eshiwani

J2:21.07.2017_ IEBC Win- Shisia Wasilwa - MP3-Stereo