1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uchaguzi wa rais wafanyika leo Rwanda

Josephat Nyiro Charo9 Agosti 2010

Rais wa sasa Paul Kagame anatarajiwa kuwashinda wapinazni watatu waliomuunga mkono katika uchaguzi wa mwaka 2003

https://p.dw.com/p/OfRA
Rais wa Rwanda, Paul Kagame, akipiga kura katika shule ya Echo Ruganga katikati mwa Kigali leoPicha: AP

Wanyarwanda hii leo wanapiga kura kumchagua rais mpya katika uchaguzi wa pili wa rais tangu kumalizika mauaji ya halaiki ya mwaka 1994. Rais wa sasa wa Rwanda, Paul Kagame, ambaye anatarajiwa kushinda awamu nyengine ya miaka saba, amepuuzilia mbali madai ya ukandamizaji wa wapinzani na kusisitiza kuwa uchaguzi wa leo wa rais umefanyika kwa njia ya kidemokrasia. Peter Moss amezungumza hivi na mwandishi wetu wa Rwanda, Daniel Gakuba.