1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uchaguzi wa wabunge nchini Rwanda

12 Septemba 2008

Rwanda inajiandaa kwa uchaguzi wa wabunge uliopangwa kufanyika wiki mwanzoni mwa wiki ijayo.

https://p.dw.com/p/FH6m
Uchaguzi nchini Rwanda mwaka 2003Picha: AP

Kwa mujibu wa tume ya uchaguzi nchini humo maandalizi yote yako tayari na waangalizi wa kimataifa kutoka jumuiya ya Ulaya wanatarajiwa kushiriki katika zoezi hilo.Itakumbukwa kwamba Rwanda ilifanya uchaguzi wa kidemokrasia mwaka 2003 baada ya mauaji ya halaiki ya mwaka 1994.

Ili kupata picha kamili Thelma Mwadzaya amezungumza na mwandishi wetu wa Kigali Christopher Karenzi