1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Udhalilishaji watoto bado tatizo duniani

1 Aprili 2012

Vitendo vya mateso dhidi ya watoto vimeendelea kuripotiwa kote ulimwenguni licha ya kuwepo kwa matamko na sheria kuhusiana na haki zao, kwani wakitendewa vibaya udogoni, maisha yao yanaharibika moja kwa moja.

https://p.dw.com/p/14Vwn
Watoto waliogeuzwa walemavu na mabomu ya kutegwa ardhini nchini Angola.
Watoto waliogeuzwa walemavu na mabomu ya kutegwa ardhini nchini Angola.Picha: picture-alliance/ZB

Katika makala hii ya Mbiu ya Mnyonge, Mohammed Dahman anazungumzia hali halisi ya haki za watoto duniani katika wakati ambao taarifa za visa vya mateso dhidi yao zikiongezeka, licha ya ulimwengu kuambiwa umestaarabika zaidi sasa kuliko hapo zamani.

Kusikiliza makala hii, tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Makala: Mbiu ya Mnyonge
Mada: Udhalilishaji wa watoto duniani
Mtayarishaji: Mohammed Dahman
Mhariri: Mohammed Abdul-Rahman