1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ufahamu Jumla – Kipindi 4 – Mayai na Viazi

11 Novemba 2010

Mayai yanapochemshwa huwa magumu, viazi vinapochemshwa hulainika.Kwanini? hapa fizikia na biokemia huchukua nafasi yake.Katika chakula cha jioni na familia ya Jenny tunagundua kuwa Jack anayafahamu majibu hayo.

https://p.dw.com/p/Q2df