1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ufahamu Jumla – Kipindi 6 – Ndoto

11 Novemba 2010

Tutazungumzia juu ya ndoto tunazoziota wakati tunapokuwa tumelala. Jack anamwalika Jenny kuangalia sinema ya mapenzi.Wakati ndoto yake ikikaribia kukamilika, Jenny anajiuliza „hivi ni kwanini tunaota?“

https://p.dw.com/p/Q2dw