1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ufahamu ugonjwa wa kifafa

5 Machi 2018

Kifafa humtokea mtu pale ambapo kunakuwa na utendaji usio wa kawaida katika chembe za ubongo. Mtu huanguka, hukakamaa na kujipigapiga chini. Makala ya Afya Yako inajadili dalili, tiba na jinsi ya kumsaidia mgonjwa.

https://p.dw.com/p/2tj1c
Ubongo

FE: Gesundheit 01/05/08.03. Epilepsy - MP3-Stereo