1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ujasiriamali wakati wa janga la COVID-19 visiwani Zanzibar

Salma Said11 Novemba 2020

Wakati janga la virusi vya corona lilipohanikiza visiwani Zanzibar mwanzoni mwa mwaka huu wanawake walitumia kadhia hiyo kuwa fursa kwa kutengeneza barakoa, sabuni ya maji na vitakasa mikono ‘sanitizers’ ambavyo vilitumika sana katika mapambano dhidi ya Corona. Ungana na Salma Said katika makala ya Wanawake na Maendeleo.

https://p.dw.com/p/3l9IZ