1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ujerumani na kilimo cha ''Asparagus'' nyeupe

Grace Kabogo
25 Aprili 2019

Umeshawahi kuziona mboga hizi? Kama bado, basi nikujulishe tu kuwa zinaitwa ''Asparagus'' nyeupe. Msimu wa kilimo cha mboga aina ya Asparagus nyeupe umeanza nchini Ujerumani. Kwa kawaida msimu huo unaanza katikati ya mwezi Aprili hadi Juni 24. Mboga hizo zinauzwa sana kwenye maduka makubwa, huku bei ikielezwa kutofautiana kutokana na urefu na ncha ya mboga hiyo. Kurunzi Ujerumani 25.04.2019

https://p.dw.com/p/3HQPq